Get Mystery Box with random crypto!

Hongera kwa Mshirika wetu Rasmi, Manchester City, kwa kushinda | QNET Africa Official

Hongera kwa Mshirika wetu Rasmi, Manchester City, kwa kushinda Ligi Kuu kwa mara nyingine tena! Bidii, shauku na kujitolea kwenu kwa ubora ni jambo la kutia moyo, na tunafurahi kuwa pamoja na timu nzuri kama hii.

Kama Mshirika Rasmi wa Manchester City, Mabingwa wa Ligi Kuu 2022-23, tunashiriki pamoja katika furaha yenu na tunajisikia fahari kuwa sehemu ya safari hii nzuri. Asante kwa kututia moyo kuwa bora zaidi. Twenzetu QNETCity!